05 Dec

SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

Kiswahili limetengewa siku yake nayo ni tarehe 7 mwezi wa saba kila mwaka ili kusherehekea siku hiyo duniani. Kama ambavyo lugha mbalimbali duniani zina siku maalumu za kuadhimisha zao

Kiswahili limetengewa siku yake nayo ni tarehe 7 mwezi wa saba kila mwaka ili kusherehekea siku hiyo duniani. Kama ambavyo lugha mbalimbali duniani zina siku maalumu za kuadhimisha zao na Kiswahili kinaadhimishwa siku hiyo. Mqambo haya yamepata kibali tarehe 23/11/2021 huko UNESCO

19394 Comments

Post a comment